Home Mchanganyiko Viongozi wa Chama cha Demokrasia Makini Wajengewa Uwezo Ujazaji Fomu Marejesho ya...

Viongozi wa Chama cha Demokrasia Makini Wajengewa Uwezo Ujazaji Fomu Marejesho ya Gharama za Uchaguzi

0

Mkuu wa Sehemu ya Usajili wa Vyama vya Siasa toka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) na Mwenyekiti wa mafunzo, Bw. Muhidin Mapeyo akifungua mafunzo ya namna ya kujaza fomu namba 12 ya Marejesho ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Chama cha Demokrasia Makini  leo katika Ukumbi wa Samwel Sita Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam.

Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa(ARPP), Sisty Nyahoza akiwasilisha akisisitiza jambo wakati wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu namba 12 ya Marejesho ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Chama cha Demokrasia Makini  leo katika Ukumbi wa Samwel Sita Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Sehemu ya Usajili wa Vyama vya Siasa toka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) na Mwenyekiti wa mafunzo hayo, Ndg. Muhidin Mapeyo

Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa(ARPP), Sisty Nyahoza akiwasilisha akifafanua jambo wakati wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu namba 12 ya Marejesho ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Chama cha Demokrasia Makini  leo katika Ukumbi wa Samwel Sita Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Sehemu ya Usajili wa Vyama vya Siasa toka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) na Mwenyekiti wa mafunzo hayo, Ndg. Muhidin Mapeyo

Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini wa Chama cha Demokrasia Makini, Bibi.Joyce Philipo Mangola akichangia mada wakati wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu namba 12 ya Marejesho ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Chama cha Demokrasia Makini  leo katika Ukumbi wa Samwel Sita Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Makini Taifa, Bw. Mohamed Abdula.

Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha Demokrasia Makini, Bw. Ameir Hassan Ameir akichangia mada wakati wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu namba 12 ya Marejesho ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Chama cha Demokrasia Makini  leo katika Ukumbi wa Samwel Sita Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam.

Katibu Mwanezi Taifa wa Chama cha Demokrasia Makini, Bw. Salum J. Elias akichangia mada wakati wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu namba 12 ya Marejesho ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Chama cha Demokrasia Makini  leo katika Ukumbi wa Samwel Sita Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu namba 12 ya Marejesho ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Chama cha Demokrasia Makini  leo katika Ukumbi wa Samwel Sita Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam. (Picha na ORPP)