Tuesday, May 26, 2026

2021

Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.

10596 Stories
MWALIMU APONGEZA UTEUZI WA DK BASHIRU

MWALIMU APONGEZA UTEUZI WA DK BASHIRU

******************************************* NA DENIS MLOWE,IRINGA MWENYEKITI  wa Jukwaa la Walimu Wazalendo mkoa wa Iringa, Mwalimu Marysina Ngowi  amepongeza uteuzi  wa aliyekuwa katibu mkuu wa CCM…

TUNDURU WATAHADHALISHWA JUU YA MATUMIZI HOLELA YA DAWA

TUNDURU WATAHADHALISHWA JUU YA MATUMIZI HOLELA YA DAWA

Mratibu wa kitengo cha kifua kikuu na ukoma wa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Dkt Mkasange Kihongole kushoto akifuatilia maendeleo ya Afya ya mtoto Fatma Ali(3) ambaye anasumbuliwa na homa za mara kwa mara wakati wa kampeni ya uelimishaji na uchunguzi wa vimelea vya kifua kikuu kwa watoto iliyofanyika katika kijiji cha Namwinyu wilayani humo,kulia ni mama wa mtoto Daima Kazembe. Muuguzi wa Zahanati ya Namwinyu kijiji cha Namwinyu  wilaya ya Tunduru Hidaya Kandulu akiongea na baadhi ya akina mama waliofika kwenye zahanati hiyo kwa ajili ya huduma ya kliniki kwa watoto wao, hata hivyo baadhi ya watoto hao wamebainika kuwa na maradhi mbalimbali ikiwemo ugonjwa wa kifua kikuu unaosababisha watoto wengi kutokuwa na maendeleo mazuri katika suala zima  la ukuaji. *****************************************  Na Muhidin Amri, Tunduru MRATIBU wa kitengo cha kifua kikuu na ukoma kutoka Hospitali ya wilaya Tunduru mkoani Ruvuma Dkt Mkasange…