RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe.David Concar, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe. David Concar.(kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa Mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu akiwa na ujumbe wake.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe. David Concar.(kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu na kushuhudia utiaji wa saini ya makubaliano ya kupambana na Dawa za Kulevya na uhalifu hafla hiyo imefanyika leo 15-12-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisuhudia utiaji wa Saini ya Makubaliano ya Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu Zanzibar, (kulia ) Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kubadilishana mawazo na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe. David Concar, baada ya kumaliza mazungumzo yao na kushuhudia utiaji wa saini ya makubaliano ya kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)