Afisa Tehama kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari Charles Tesha akitoa maelezo kuhusu mkongo wa taifa kwa wananchi ambao wamefika katika banda la wizara hiyo katika maonyesho ya 21 ya wajasiriamali wa Afrika Mashariki yanayofanyika katika viwanja vya Rock City Mall Jijini Mwanza.
Afisa Tehama kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari Charles Tesha na Afisa habari kutoka wizara hiyo Faraja mpina wakimuelemisha raia kutoka Burundi Ndihokubaya Isack kuhusu anwani za makazi zinavyofanya kazi nchini katika maonyesho ya 21 ya wajasiriamali wa Afrika Mashariki yanayofanyika katika viwanja vya Rock City Mall Jijini Mwanza.
Mtaalamu wa Anwani za Makazi na Postikodi Munir Omary akitoa elimu ya mfumo huo kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Taqwa katika maonyesho ya 21 ya wajasiriamali wa Afrika Mashariki yanayofanyika katika viwanja vya Rock City Mall Jijini Mwanza.
Afisa Tehama kutoka Wizara ya Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Richard Magubila akitoa maelezo kwa wananchi waliofika katika banda la wizara hiyo juu ya huduma mbalimbali zinazopatikana katika banda hilo katika maonyesho ya 21 ya wajasiriamali wa Afrika Mashariki yanayofanyika katika viwanja vya Rock City Mall Jijini Mwanza.
Afisa Tehama kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari Charles Tesha akitoa elimu ya mfumo wa anwani za makazi unavyofanya kazi kwa maafisa habari kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Nyamagory omary na Adam Haule katika maonyesho ya 21 ya wajasiriamali wa Afrika Mashariki yanayofanyika katika viwanja vya Rock City Mall Jijini Mwanza.
Afisa Tehama kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari Charles Tesha akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Taqwa walipotembelea banda la Wizara hiyo kujifunza kuhusu mambo mbalimbali katika maonyesho ya 21 ya wajasiriamali wa Afrika Mashariki yanayofanyika katika viwanja vya Rock City Mall Jijini Mwanza