Home Siasa NAIBU KATIBU MKUU CCM AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MAGAZINI NAMTUMBO

NAIBU KATIBU MKUU CCM AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MAGAZINI NAMTUMBO

0

Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Christina Mndeme akizungumza na wakazi wa Kata ya Magazini, Namtumbo ambapo aliwaeleza wananchi hao kuwa Serikali imetoa shilingi milioni 520 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Afya Magazini.
Naibu Katibu Mkuu yupo wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma ikiwa sehemu ya ziara ya kukagua, kusimamia na kuhamasisha utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020/2025.( Picha na Adam Mzee/ CCM Makao Makuu)