Home Siasa BREAKING NEWSSS: MBUNGE WA NAMTUMBO VITA KAWAWA APATA AJALI

BREAKING NEWSSS: MBUNGE WA NAMTUMBO VITA KAWAWA APATA AJALI

0

Mbunge wa Jimbo la Namtumbo Mhe. Vita Kawawa amepata ajali katika eneo la Nalasi wilayani Tunduru akiwa kwenye ziara ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme ambaye ana ziara leo huko Namtumbo, mkoani Ruvuma.
Mheshimiwa Mbunge alikuwa watu wengine watatu kwenye gari na wote wametoka salama.( Picha na CCM Makao Makuu)

Mbunge wa Jimbo la Namtumbo Mhe. Vita Kawawa akiwa amenusurika kwenye ajali ya gari lake alilokuwa akilitumia katika ziara ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndugu Christine Mdeme.

Mbunge wa Jimbo la Namtumbo Mhe. Vita Kawawa akizungumza na Bw. Nasoro Hassan Dereva wa CCM Makao Mkuu mara baada ya kunusurika kwenye ajali ya gari lake alilokuwa akilitumia katika ziara ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndugu Christine Mdeme.