Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kiwanda cha Kahawa Ngara Coffee akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera, Septemba 19, 2021. Kulia ni Mkewe Mary  Majaliwa na wa pili kulia ni Mkurugenzi wa kiwanda, Abdallah Seif.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kiwanda cha Kahawa Ngara Coffee akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera, Septemba 19, 2021. Kulia ni  Mkurugenzi wa kiwanda, Abdallah Seif. 

Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kutembelea Kiwanda cha Kahawa Ngara Coffee akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kagera, Septemba 19, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)