Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Dustan Kitandula akiongoza semina ya ushiriki ya wazawa katika sekta ya Mafuta na Gesi kwa Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini iliyotolewa leo na Bodi ya watoa huduma za Gesi na Mafuta Tanzania (ATOGS) katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 3, 2021, kulia ni katibu kamati wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Bw. Dunford Mpelumbe
Mwenyekiti wa Bodi ya watoa huduma za Gesi na Mafuta Tanzania (ATOGS), Abdulsamad Abdulrahim akizungumza wakati wa semina ya ushiriki ya wazawa katika sekta ya Mafuta na Gesi kwa Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 3, 2021, kushoto ni Mkurugenzi wa Bodi, Bw. Jumbe Menye na Mjumbe wa Bodi, Bw. Mohamed Mohamed
Mwenyekiti wa Bodi ya watoa huduma za Gesi na Mafuta Tanzania (ATOGS), Abdulsamad Abdulrahim akizungumza mbele ya Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakati wa semina ya ushiriki ya wazawa katika sekta ya Mafuta na Gesi iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 3, 2021
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakifuatilia maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya watoa huduma za Gesi na Mafuta Tanzania (ATOGS), Abdulsamad Abdulrahim wakati wa semina ya ushiriki ya wazawa katika sekta ya Mafuta na Gesi kwa Wajumbe wa kamati hiyo iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 3, 2021
Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Dustan Kitandula (kushoto aliekaa) pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya watoa huduma za Gesi na Mafuta Tanzania (ATOGS), Abdulsamad Abdulrahim (kulia aliekaa) wakiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakati wa semina ya ushiriki ya wazawa katika sekta ya Mafuta na Gesi pamoja na viongozi wakuu kutoka ATOGS iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 3, 2021
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)