Mkurugenzi wa Kitengo cha Vodacom Business ndani ya kampuni ya teknolojia na mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC Arjun Dhilon (kulia) akimkabidhi fulana Mkurugenzi na Mwanzilishi wa Tanzania Saccos Women Entrepreneurs (TASWE Saccos) Anna Matinde wakati wa maonyesho ya bidhaa za wajasiriamali Tanzania wenye lengo la kukuza biashara zao kupitia kampeni ya kampuni hiyo ya Pamoja Tukuze Biashara Yako iliyo chini ya muunganiko wa kidunia wa ‘SheMeansBusiness’
Mkurugenzi wa Kitengo Vodacom Business ndani ya kampuni ya teknolojia na mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC Arjun Dhilon (kulia) akiwasikiliza wajasiriamali wanawake wakati wa maonyesho ya bidhaa za wajasiriamali Tanzania wenye lengo la kukuza biashara zao kupitia kampeni ya kampuni hiyo ya Pamoja Tukuze Biashara Yako iliyo chini ya muunganiko wa kidunia wa ‘SheMeansBusiness’
Mkurugenzi wa Kitengo Vodacom Business ndani ya kampuni ya teknolojia na mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC Arjun Dhilon (kushoto) akizungumza na wajasiriamali Wanawake wakati wa maonyesho ya bidhaa za wajasiriamali Tanzania wenye lengo la kukuza biashara zao kupitia kampeni ya kampuni hiyo ya Pamoja Tukuze Biashara Yako iliyo chini ya muunganiko wa kidunia wa ‘SheMeansBusiness’.