Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR DK.MWINYI AZINDUA MELI YA MIZIGO NA ABIRIA YA MV.IKRAM...

RAIS WA ZANZIBAR DK.MWINYI AZINDUA MELI YA MIZIGO NA ABIRIA YA MV.IKRAM BANDARI YA WETE PEMBA

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein  Ali Mwinyi akikata utepe kuizindua Meli Mpya ya Mizigo na Abiria ya MV Ikraam 1, na (kushoto kwa Rais) Mmiliki wa Meli hiyo Bw.Abduldhaful Ismal Mohammed,uzinduzi huo umefanyika katika Bandari ya Wete Pemba, wakati wa ziara yake Kisiwani Pemba.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Meli Mpya ya MV Ikraam baada ya kuizindua rasmin katika bandari ya Wete Pemba, ikifanya safari zake kati ya Unguja na Pemba.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Nahodha wa Meli ya Abiria na Mizigo ya MV.Ikraam 1, wakati akitembelea meli hiyo baada ya kuizindua rasmin, hafla hiyo imefanyika katika Bandari ya Wete Pemba.

MKURUGENZI Mkuu wa Kampuni ya Meli ya Abiria na Mizingo ya MV Ikraam 1. Bw Juma Amour  akizungumza na kutowa maelezo ya kitaalamu ya Meli hiyo, wakati wa hafla ya Uzinduzi huo uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika bandari ya Wete Pemba.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Wete Pemba katika uzinduzi wa Meli Mpya ya Mizigo na Abiria  MV Ikraam 1,uzinduzi huo umefanyika katika Bandari ya Wete Pemba.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Mabahari wa Meli Mpya ya Abiria na Mizigo ya MV Ikraam 1, baada ya kuzinduliwa rasmin, katika Bandari ya Wete Pemba, ikifanya safari zake kati ya Unguja na Pemba

BAADHI ya Wananchi wa Wilaya ya Wete Pemba wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza baada ya kuizindua Meli Mpya ya Abiria na Mizigo ya MV.Ikraam 1,uzinduzi huo umefanyika katika Bandari ya Wete Pemba.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoka katika Meli ya Abiria na Mizigo ya MV Ikraam 1,baada ya kuizindua rasmin katika Bandari ya Wete Pemba, ikifanya safari zake kati ya Unguja na Pemba.(Picha na Ikulu)