Afisa Uchaguzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Michael Simba, akitoa mafunzo kwa wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya vituo ambao wanapatiwa mafunzo kwaajili ya Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Konde, Wilaya ya Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba unaotaraji kufanyika Jumapili Julai 18,2021.
Afisa Uchaguzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mawazo Bikenye akitoa mafunzo kwa wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya vituo ambao wanapatiwa mafunzo kwaajili ya Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Konde, Wilaya ya Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba unaotaraji kufanyika Jumapili Julai 18,2021.
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ofisi ya Zanzibar, Hamidu Mwanga akizungumza wakati wanufungaji Mafunzo kwa Wasimamizi na Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi katika Jimbo la Konde. Wananchi wa Konde wanataraji kupiga kura kumchagua Mbunge wa Jimbo hilo Julai 18,2021.
Washiriki wakijifunza ufungaji wa Kituturi.
Washiriki wakijifunza namna ya kufunga masanduku ya kura.
(Picha na NEC).