Home Mchanganyiko RAIS SAMIA AWASILI NCHINI BURUNDI KUANZA ZIARA YA KITAIFA YA SIKU MBILI

RAIS SAMIA AWASILI NCHINI BURUNDI KUANZA ZIARA YA KITAIFA YA SIKU MBILI

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili  katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa Melchion Ndadaye  Jijini Bujumbura Burudi kwa ajili ya kuanza ziara ya kitaifa ya siku mbili leo Julai 16,2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Makamu wa Rais wa Burundi Mkuu wa Burundi  Mhe. Prosper Bazombanza alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa Melchion Ndadaye  Jijini Bujumbura Burudi kwa ajili ya kuanza ziara ya kitaifa  ya siku mbili leo Julai 16,2021.(Picha na Ikulu)