Wananchi wa Kinyasini pamoja na Wafanyabiashara wakisimamisha msafara wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi kuelezea Changamoto zao mbali mbali zinazowakabili ili waweza kupata ufafanuzi wake kwa Rais alipofanya Ziara katika Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.[Picha na Ikulu] 06/07/2021.
Baadhi ya Wananchi waliofika wakati Msafara wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ulipofika maeneo ya Kinyasini Wilaya ya Kaskazini “A” wakisikiliza Changamoto zilizotolewa na Baadhi ya Wafanyabiashara ili zimfikie Rais alipokuwa katika ziara yake Leo katika Mkoa wa Kaskazini Unguja.[Picha na Ikulu] 06/07/2021.
Wananchi na Wafanyabishara wa Kinyasini Wilaya Kaskazini “A” wakimskiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati alipokuwa akizungumza nao leo mara baada ya kuelezwa Changamoto zao akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Unguja alipotembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo.[Picha na Ikulu] 06/07/2021.
Baadhi ya Kinamama Lishe hawakuwa nyumba katika kueleza changamoto zao kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) ambapo waliomba kupatiwa mikopo waweze kuendeleza na kukuza mitaji yao wakati wa ziara ya Mkoa wa Kaskazini Unguja katika kutmbelea miradi mbali mbali ya maendeleo.[Picha na Ikulu] 06/0-7/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na baada ya Wafanyabishara na Wananchi wa Kijiji cha Kinyasini Wilaya ya Kaskazini”A” akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Unguja alipotembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo.[Picha na Ikulu] 06/07/2021.
KAIMU Mkurugenzi wa Baraza la Mji Kaskazini “A” Dk.Hamid Juma Saidi alipokuwa akitoa ufafanuzi wa Changamoto mbali mbali zilizotolewa na Wananchi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokutana na Wananchi hao leo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Unguja alipotembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo.[Picha na Ikulu] 06/07/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) wakati alipokuwa akizungumza na baada ya Wafanyabishara na Wananchi wa Kijiji cha Kinyasini Wilaya ya Kaskazini”A” akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Unguja alipotembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo.[Picha na Ikulu] 06/07/2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kushoto) akifungua pazia kuashiria kuweka jiwe la Msingi Msikiti wa Ijitimai Kidoti Wilaya Kaskazini “A” Mkoa wa Kaskazini Unguja akiwa katika ziara ya Mkoa huo inayoendelea ndani ya Mkoa huo (kulia) Amiri Ali Khamis.[Picha na Ikulu] 06/07/2021.