Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Kheri A. Mahimbali na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil T. Abdallah wakimsikiliza Mwanji Mbaka Mhandisi Mjenzi Mradi wa Julius Nyerere (JNHPP) wakati alipokuwa akiwaelezea maendeleo ya ujenzi wa mradi huo katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo
Mmoja wa wataalamu wa Kampuni ya Uendelezaji Joto Ardhi Tanzania (TGDC) akiwaelezea Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Kheri A. Mahimbali kushoto na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil T. Abdallah jinsi mradi huo utakavyotekelezwa.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Kheri A. Mahimbali kushoto akiuliza swali kwa mtaalam huyo huku Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil T. Abdallah akisikiliza wakati viongozi hao walipotembelea banda la TANESCO.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Kheri A. Mahimbali na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil T. Abdallah wakisikiliza maelezo ya Jensen Mhavile Meneja Mipango wa REA wakati walipotembelea banda la Rea katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Kheri A. Mahimbali na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil T. Abdallah wakiangalia moja ya Transfoma zinazotumika katika mradi wa usambazaji wa umeme vijijini REA wakati viongozi hao walipotembelea katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Kheri A. Mahimbali na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil T. Abdallah wakiangalia Panel za Sola wakati walipotembelea banda la REA katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo,