Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongea wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la siku 100 za Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, ambalo linatoa mrejesho kwa wadau wa Baraza la Wafanyabiashara (TNBC) lililofanyika kwenye kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Juni 27, 2021 Jijini Dar es Salaam
Washiriki wa Kongamano la siku 100 za Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, ambalo linatoa mrejesho kwa wadau wa Baraza la Wafanyabiashara (TNBC) wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye alikuwa mgeni rasmi katika kongamano hilo lililofanyika katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Juni 27, 2021 Jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)