RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo wakati akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dr.Peter Mutuku Mathuki na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Martin Ngoga Karoli, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu kwa mazungumzo na Ujumbe wa Bunge la Afrika Mashari ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dr.Peter.Mutuku Mathuki na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe.Martin Ngoga Karoli, alipowasili katika ukumbi kwa mazungumzo na wageni wake katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dr. Peter Mutuku Mathuki,Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Martin Ngoga Karoli na Jaji Nestor Kayobera walipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wao kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduzI Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Bunge la Afrika Mashariki waliokaa (kushoto kwake) Jaji Nestor Kayobera na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soroga na (kulia kwake) Katibu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dr. Peter Mutuku Mathuki na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe.Martin Ngoga Karoli.(Picha na Ikulu)