Home Michezo SIMBA SC YAENDELEA KUUSOGELEA UBINGWA, YAIBAMIZA POLISI TANZANIA BAO 1-0

SIMBA SC YAENDELEA KUUSOGELEA UBINGWA, YAIBAMIZA POLISI TANZANIA BAO 1-0

0

******************

Klabu ya Simba Sc inaendelea kujichimbia kilele mwa Ligi Kuu Tanzania bara mara baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.

Mechi ilikuwa ya aina yake hasa kwa timu zote kucheza kandanda safi lenye nidhamu licha ya Simba SC kuibuka na ushindi katika mechi hiyo.

Bao pekee la Simba Sc liliwekwa kimyani na Kiungo Mshambuliaji  Luis Miquissone dakika ya 28 ya mchezo.