WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa nasaha zake mara baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa ilioswaliwa leo katika Masjid Omar Bin Khatwaab Msumbiji Kwamabata Jijini Zanzibar ikiwa ni kawaida yake ya kujumuka na waumini Dini ya Kiislamu wa miskiti mbali mbali Nchini.(Picha na Ikulu) 21/05/2021.
Imam wa Msikiti wa Msumbiji Kwamabata Masjid Omar Bin Khatwaab Sheikh Sharif Makame Hamadi (kulia) alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na Waumini wa Dini ya Kiislam mara baada ya kumalizika kwa swala ya iliyofanyika leo katika msikiti huo kiwa ni kawaida yake ya kujumuka na waumini Dini ya Kiislamu wa miskiti mbali mbali Nchini. (Picha na Ikulu)21/05/2021 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati alipotoa nasaha zake baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa ilioswaliwa katika Masjid Omar Bin Khatwaab Msumbiji Kwamabata Jijini Zanzibar leo ikiwa ni kawaida yake ya kujumuka na waumini Dini ya Kiislamu katika misikiti mbali mbali Nchini.(Picha na Ikulu) 21/05/2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa nasaha zake mara baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa ilioswaliwa leo katika Masjid Omar Bin Khatwaab Msumbiji Kwamabata Jijini Zanzibar ikiwa ni kawaida yake ya kujumuka na waumini Dini ya Kiislamu katika misikiti mbali mbali Nchini.(Picha na Ikulu) 21/05/2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) pamoja na Viongozi mbali mbali na waumini wa dini ya Kiislamu wakiitikia dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kushoto) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa katika Masjid Omar Bin Khatwaab Msumbiji Kwamabata Jijini Zanzibar leo (kulia) Katibu wa Mufti Sheikh Khalid Ali Mfaume.(Picha na Ikulu) 21/05/2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiagana na Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo katika Masjid Omar Bin Khatwaab Msumbiji Kwamabata Jijini Zanzibar (kulia) Katibu wa Mufti Mkuu wa zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume.(Picha na Ikulu) 21/05/2021.