Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandikwa akipongezwa na wabunge baada ya Bajeti ya wizara hiyo kupita bila kupingwa usiku huu bungeni Dodoma.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandikwa (katikati), Katibu Mkuu wa wizra hiyo, Faraji Mnyepe na Mnadhimu Mkuu Jeshini, Luteni Jenerali Yocoub Mohamed (kulia) wakifurahia jambo baada ya Bajeti ya Wizara hiyo kupita bila kupingwa bungeni Dodoma.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Kwandikwa akihitimisha kwa kutoa hoja ya Bajeti hiyo bungeni Dodoma.
Baadhi ya viongozi na maofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania wakiwa kwenye viwanja vya Bunge wakati wa bajeti hiyo.
Baadhi ya viongozi na maofisa wa Bunge wakitambulishwa bungeni Dodoma wakati wa Bajeti hiyo.
Waziri Kwandikwa akiwa na baadhi ya wageni wake kwenye viwanja vya Bunge
Baadhi ya viongozi na maofisa wa JWTZ