FAMILIA ya Chipungahelo na Zayumba inasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa Mary Alice Chipungahelo (Mama Chipps) kilichotokea tarehe 09/05/2021 majira ya saa 8 mchana katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar Es Salaam.
Msiba uko Magomeni Mapipa Mtaa wa Takadiri kwa Mama Joyce Nkondola. Mazishi yanatarajiwa kufanyika Alhamisi – Ratiba imeambatanishwa.
TAHADHARI: Familia Inaomba Tuchukue Tahadhari Kwa Kuvaa BARAKOA Kwenye Mikusanyiko.