Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Fainali za Mashindano ya 29 ya Kimataifa ya Qur’an kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam, Mei 2, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya waumin wa dini ya kiislaam wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza katika Fainali za Mashindano ya 29 ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur’an Tukufu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, Mei 2, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mshindi wa Kwanza wa Mashindano ya 29 ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur’an Tukufu kutoka Yemen, Mohammed Abdo Ahmed (kushoto) hundi ya Dola za Marekani 5,000 katika fainali za mashindano hayo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam, Mei 2, 2021. Kulia ni Mwenyekiti Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur’an, Sheikh Othman Kaporo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mshindi wa kwanza wa kusoma Qur’an kwa njia ya tajweed kutoka Tanzania, Mohammed Harun (kushoto) katika Fainali za Mashindano ya Kimataifa ya Qur’an kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam, Mei 2, 2021. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Abubakar Kunenge, Wa pili kushoto ni Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir , wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Kuhifadhisha Quran, Shekh Othman Kaporo na kulia ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na viongozi baada ya kukabidhi zawadi na kuzungumza katika Fainali za Mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur’an Tukufu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam, Mei 2, 2021 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)