Home Mchanganyiko SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA UINGEREZA NA UFARANSA...

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA UINGEREZA NA UFARANSA NCHINI BUNGENI JIJINI DODOMA

0

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akifurahia jambo na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Mhe. Frederic Clavier alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai katika picha ya pamoja kwa njia ya kusalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mhe. David Concar alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mhe. David Concar alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Mhe. Frederic Clavier alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Mhe. Frederic Clavier alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma