Home Mchanganyiko NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA...

NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UFARANSA NCHINI BUNGENI JIJINI DODOMA

0

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kulia) katika picha ya pamoja na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Mhe. Frederic Clavier alipomtembelea leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiteta jambo (kulia) na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Mhe. Frederic Clavier alipomtembelea leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kulia) akizungumza na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Mhe. Frederic Clavier alipomtembelea leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kulia) akimsikiliza Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Mhe. Frederic Clavier alipomtembelea leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)