Home Mchanganyiko SIMBACHAWENE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA

SIMBACHAWENE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA

0

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, David Concar(kulia), walipokutana kwa mazungumzo leo katika Makao Makuu ya wizara,jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Balozi wa Uingereza  nchini Tanzania, David Concar akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), walipokutana kwa mazungumzo leo katika Makao Makuu ya wizara jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi