Home Mchanganyiko MAJALIWA AZUNGUMZA NA BAADHI YA MAKATIBU WAKUU NA MAKAMISHINA

MAJALIWA AZUNGUMZA NA BAADHI YA MAKATIBU WAKUU NA MAKAMISHINA

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao cha kazi  na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri  Mkuu,  Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango,   Kamishina Mkuu wa TRA, Kamishina wa Forodha na Msajili wa Hazina, kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 20, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)