Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao cha kazi na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Kamishina Mkuu wa TRA, Kamishina wa Forodha na Msajili wa Hazina, kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 20, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MAJALIWA AZUNGUMZA NA BAADHI YA MAKATIBU WAKUU NA MAKAMISHINA
By Alex Sonna
April 21, 2021 | 4:39 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
59 minutes ago
CHONGOLO: MAANDALIZI YA NANE NANE 2026 YAMEKAMILIKA KWA 99.9%, NCHI 24 KUSHIRIKI
Na Meleka Kulwa – Fullshangwe Blog, Dodoma Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Godfrey Chongolo, amesema maandalizi ya Maonesho ya Wakulima (Nane Nane) 2026 yamekamilika…
Mchanganyiko
2 hours ago
MD TWANGE AWATAKA WANASHERIA WA TANESCO KUENDELEA KUSIMAMIA MAADILI NA TAALUMA
* Afungua Jukwaa la Wanasheria wa TANESCO jijini Mwanza *Awasisitiza kutoa ushauri wa kisheria kwa wakati na kulinda maslahi ya Shirika Na Mwandishi Wetu,…
