RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Jumuiya ya Kanisa la Wasabato Tanzania, ukiongozwa na Askofu Mark.W.Malekana walipofika Ikulu Jijni Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Askofu Mkuu wa Kanisa la Wasabato Tanzania Mark.W.Malekana, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu.(Picha na Ikulu)