Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe Samia Suluhu Hassan akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi, Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango
na viongozi wa dini wa madhehebu mbalimbali akishiriki kuomba dua
kabla ya kuanza kwa Kongamano la Viongozi wa Dini la Kuomuombea na
Kuombea Taifa pamoja na kumshukuru Mungu kwa ajili ya Maisha ya
aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika
Ukumbi wa Chimwaga jijini Dodoma leo Jumapili Aprili 18, 2021.
Picha mbalimbali wakati wa kongamano la viongozi wa dini kuombea taifa na kumshukuru mungu kwa ajili ya maisha ya Hayati Dkt John Pombe Magufuli ukumbi wa Chimwaga Jijini Dodoma