Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali
Mwinyi akiongoza mapokezi ya mwili wa alieykuwa Rais wa Tanzania Dkt.
John Pombe Joseph Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Abeid Amani Karume kabla baadaye kwenda kutoa heshima za mwisho katika
Uwanja wa Amaan mjini Unguja leo Machi 23, 2021
PICHA NA IKULU