Home Mchanganyiko VILIO VYATAWALA UWANJA WA UHURU WANANCHI WAKIAGA MWILI WA ALIYEKUWA RAIS WA...

VILIO VYATAWALA UWANJA WA UHURU WANANCHI WAKIAGA MWILI WA ALIYEKUWA RAIS WA TANZANIA MHE.DKT.JOHN POMBE MAGUFULI

0

Wananchi mbalimbali wakilia kwa uchungu baada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dk John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam leo Jumapili Machi 21,2021.

Maelfu ya wananchi waliofika katika uwanja wa Uhuru kwaajili ya kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dk John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam leo Jumapili Machi 21,2021.