Home Mchanganyiko ZIARA YA MAKAMU WA RAIS TANGA MJINI

ZIARA YA MAKAMU WA RAIS TANGA MJINI

0

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akipata maelezo kuhusu maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Flow Meter  kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari TPA  Bw. Kakonko alipotembelea Bandari ya Tanga kukagua Maendeleo ya Mradi huo leo March 17,12021. Makamu wa Rais yupo katika siku ya tatu ya ziara yake ya kikazi Mkoani Tanga kutembelea na  kukagua Miradi mbalimbali ya Maendeleo ya Wananchi. katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martin Shegela.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akiondoa kitambaa kuzindua Kiwanda cha Chokaa cha Neelkanth Chemicals LTD kiliopo Kata ya Kiomoni Tanga Mjini Mkoani Tanga leo March 17,12021. Makamu wa Rais yupo katika siku ya tatu ya ziara yake ya kikazi Mkoani Tanga kutembelea na kukagua Miradi mbalimbali ya Maendeleo ya Wananchi.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akipata maelezo kuhusu maendeleo ya Uhifadhi wa Mafuta  kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya GBP Mkoani Tanga wakati alipotembelea Terminal ya Kuhifadhia Mafuta hayo iliyopo Tanga Mjini leo March 17,12021. Makamu wa Rais yupo katika siku ya tatu ya ziara yake ya kikazi Mkoani Tanga kutembelea na kukagua Miradi mbalimbali ya Maendeleo ya Wananchi. katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martin Shegela.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu Utengenezaji  wa Kadi Janja kutoka kwa Afisa wa Ufundi wa Kwanda cha kutengenezea Kadi Janja (Smart Card TLD) Tanga Mjini leo March 17,12021. Makamu wa Rais yupo katika siku ya tatu ya ziara yake ya kikazi Mkoani Tanga kutembelea na  kukagua Miradi mbalimbali ya Maendeleo ya Wananchi. katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martin Shegela.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akisalimiana na Wananchi na Wafanyakazi kiwanda cha kutengeneza Chokaa Neelkanth Chemicals LTD kata ya Kiomoni Tanga Mjini baada ya kuzindua Kiwanda hicho leo March 17,12021. Makamu wa Rais yupo katika siku ya tatu ya ziara yake ya kikazi Mkoani Tanga kutembelea na kukagua Miradi mbalimbali ya Maendeleo ya Wananchi.

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)