WAKEKEZAJI wa Sekta ya Utalii Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza ikiwa ni muendelezo wa mikutano yake kuzungumza na Wafanyabiashara wa Sekta mbalimbali Zanzibar mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
MJUMBE wa Bodi ya ZATI Manager wa Hoteli ya Mnemba Bi.Natasha Davids akichangia wakati wa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ikiwa ni muendelezo wa mikutano yake kuzungumza na Wafanyabiashara wa Sekta mbalimbali Zanzibar.
MENEJA wa Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar Bw. Nicolas Cedro akichangia wakati wa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) ikiwa ni muendelezo wa mikutano yake kuzungumza na Wafanyabiashara wa Sekta mbalimbali Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wawekezaji wa Sekta ya Utalii Zanzibar (ZATI ) ikiwa ni muendelezo wa mikutano yake kuzungumza na Wafanyabiashara wa Sekta mbalimbali Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
WAZIRI wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Lela Mohammed Mussa, akizungumza wakati wa mkutano na Wawekezaji wa Sekta ya Utalii Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar ikiwa ni muendelezo wa mikutano ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuzungumza na Wafanyabiashara wa Sekta mbalimbali Zanzibar na (kushoto kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga.
WAKUU wa Idara mbalimbali za Serikali wakifuatilia mkutano huo wa Wawekezaji wa Sekta ya Utalii Zanzibar (ZATI) ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) ikiwa ni muendelezo wa mikutano yake na Wafanyabiashara wa Sekta mbalimbali Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(
KATIBU Mkuu Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Bi. Fatma Mabrouk Khamis akizungumza na kutoa maelezo ya maswali yalioulizwa wakati wa mkutano huo wa Wadau wa Sekta ya Utalii Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ikiwa ni muendelezo wa mikutano ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuzungumza na Wafanyabiashara wa Sekta mbalimbali.
MKURUGENZI wa Uwezeshaji na Maendeleo ya Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) Bw. Shariff Ali Shariff, akizungumza na kutowa maelezo wakati wa mkutano na Sekta ya Wawekezaji wa Utalii Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar ikiwa ni muendelezo wa mikutano ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuzungumza na Wafanyabiashara wa Sekta mbalimbali Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya ZATI Bw. Seif Masoud Miskry akizungumza wakati wa mkutano huo wa Wawekezaji wa Sekta ya Utalii Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ikiwa ni muendelezo wa mikutano yake kuzungumza na Wafanyabisahara wa Sekta mbalimbali.(Picha na Ikulu)