Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, akizungumza na abiria wa Basi la Dar Lux lililokuwa linatoka Dar es Salaam, kuelekea jijini Mwanza, baada ya kulisimamisha Basi hilo Wilayani Gairo, Mkoa wa Morogoro, leo, kwa kosa la Dereva kuendesha mwendokasi na kuovateki magari mengine sehemu hatarishi bila kuchukua tahadhari. Aliwaambia abiria hao kuwa mwendokasi unaua, hivyo wanapaswa kuwa wakali dereva anapovunja sheria za usalama barabarani. Picha Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akionyeshwa ratiba ya muda wa mabasi kusafiri na Mkaguzi wa Magari wa Kitengo cha Usalama Barabarani, Wilaya ya Gairo, Inspekta Mchomvu, baada ya kulisimamisha Basi la Dar Lux lililokuwa linatoka Dar es Salaam, kuelekea jijini Mwanza, Wilayani humo, Mkoa wa Morogoro, leo, kwa kosa la Dereva kuendesha mwendokasi na kuovateki magari mengine sehemu hatarishi bila kuchukua tahadhari. Aliwaambia abiria wa Basi hilo kuwa mwendokasi unaua, hivyo wanapaswa kuwa wakali dereva anapovunja sheria za usalama barabarani.. Picha Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, akimuonya Dereva wa Basi la Dar Lux kwa kosa la kuendesha mwendokasi na kuovateki magari mengine sehemu hatarishi bila kuchukua tahadhari, wakati alipolisimamisha Basi hilo Wilayani Gairo, Mkoani Morogoro, leo. Pia aliwaambia abiria wa Basi hilo kuwa mwendokasi unaua, hivyo wanapaswa kuwa wakali dereva anapovunja sheria za usalama barabarani. Picha Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.