Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. HUSSEIN ALI MWINYI AZUNGUMZA NA GAVANA WA MOMBASA...

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. HUSSEIN ALI MWINYI AZUNGUMZA NA GAVANA WA MOMBASA KENYA IKULU ZANZIBAR LEO.

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Gavana wa Mombasa Kenya Mhe. Ali Hassan Joho, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, akiwa na Ujumbe wake wa  Wafanyabiashara wa Kenya.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Gavana wa Mombasa Kenya Mhe. Ali Hassan Joho, (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe  wake wa Wafanyabiashara kutoka Kenya, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Gavana wa Mombasa Kenya Mhe. Ali Hassan Joho, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)