RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha maombolezi aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar. Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad, katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar leo. 23/2-2021.(Picha na Ikulu)