Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Margreth Mselewa (kulia) ambaye ni Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi ya Mitope wilayani Rungwa kuhusu ujenzi wa vyumba vya madarasa wakati alipoitembelea shule hiyo, Februari 13, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.