Home Mchanganyiko WAZIRI BASHUNGWA AENDELEA NA ZIARA JIMBONI KATIKA KATA YA IHANDA

WAZIRI BASHUNGWA AENDELEA NA ZIARA JIMBONI KATIKA KATA YA IHANDA

0

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Karagwe Mhe. Innocent Bashungwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Nyakasana, Kata ya Ihanda, wilaya Karagwe wakati akijibu maswali na kero mbalimbali alipokuwa katika mwendelezo wa ziara ya kikazi jimboni Karagwe, Januari 05, 2020

Baadhi ya Wananchi wa kijiji cha Nyakasana, Kata ya Ihanda, wilaya Karagwe waliojitokeza katika mkutano wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Karagwe Mhe. Innocent Bashungwa ambao umekuwa na lengo la kutoa shukrani kwa wananchi, Kusikiliza na kuweka mikakati ya kutatua changamoto mbalimbali lakini pia kukagua miradi ya maendeleo katika kata hiyo. Januari 05, 2020

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Karagwe Mhe. Innocent Bashungwa akijibu maswali na changamoto mbalimbali zinazowakumba wananchi wa kijiji cha Nyakasana, Kata ya Ihanda, willaya ya karagwe katika mkutano uliokuwa na malengo ya kutoa shukrani kwa wananchi, Kusikiliza na kuweka mikakati ya kutatua changamoto mbalimbali lakini pia kukagua miradi ya maendeleo katika kata hiyo, Januari 05, 2020 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Karagwe Mhe. Innocent Bashungwa akiwa ameungana na kikundi cha wanawake wa Chama Cha Mapinduzi wa kata ya Ihanda wakati wakiimba wimbo wa kumpogeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli kwa ushindi mkumbwa alioupata katika uchaguzi mkuu katika mkutano wa Mbunge katika kijiji cha Nyakasana, Kata ya Ihanda, willaya ya karagwe, Januari 05, 2020