Mshindi wa nne wa promosheni ya Vodacom Tanzania, Shangwe Shangwena,  Regina Kashmir mkazi wa Moshono jijini Arusha  akifungua mlango wa gari mpya  aliyojishindia kwenye promosheni hiyo.  Anayeshuhudia kushoto ni  Mkuu wa wilaya ya Arusha,  Mhe. Kenan Kihongosi .