Maafisa wa Tume ya Ushindani wakitoa elimu kwa wananchi waliotembelea banda la Tume katika Maonesho ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania katika uwanja wa Mwalimu J.K. Nyerere Dar es salaam. Maonesho hayo yalianza Disemba 3 na yanatarajia kuisha Disemba 9, 2020. Wasiliana nasi kupitia simu ya bure 0800110094.
*************************************
Tume ya Ushindani (FCC) wameyatumia Maonesho ya Bidhaa za Viwanda kutoa elimu kwa wafanyabiashara kuhusu ushindani kwenye masoko ili kuweza kukuza thamani ya bidhaa zinazozalishwa hapa nchini.