Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Tanga Amir Mruma akitoa hotuba yake wakati
wa ufunguzi wa maadhimisho ya wiki ya msaada wa kisheria ambayo
imeadhimishwa kitaifa mkoani Tanga.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na sheria Amon Mpanju akizungumza wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya wiki ya msaada wa kisheria ambayo
imeadhimishwa kitaifa mkoani Tanga.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza wakati wa maadhimisho hayo
Sehemu ya wananchi wakifuatilia matukio mbalimbali
Jaji
wa Mahakama Kuu Kanda ya Tanga Amir Mruma kulia akifurahia jambo wakati
alipofika kutembelea banda la Tawla Mkoa wa Tanga kulia wa kwanza kulia
ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella
Sehemu ya wananchi wakifuatilia matukio mbalimbali
Sehemu ya wananchi wakifuatilia matukio mbalimbali
wa mabaraza ya ardhi walioko katika ngazi ya kata ili waweze kutatua
migogoro kwa mujibu wa taratibu za kisheria.
hiyo imetolewa na Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Tanga Amir Mruma wakati
wa ufunguzi wa maadhimisho ya wiki ya msaada wa kisheria ambayo
imeadhimishwa kitaifa mkoani Tanga.
Kuwa hapo awali viongozi wa mabaraza hayo yalikuwa hawana elimu ya
kisheria katika eneo lao la kazi hivyo walikuwa wanashindwa kuendesha
kesi zao kwa sheria na taratibu zilizotungwa na Bunge.
utaratibu huu wa sasa uliwekwa na serikali itarahisisha utendaji kazi
wa mabaraza hayo lakini hata kesi zinapofika katika ngazi ya Mahakama
,maji wataweza kutuma maamuzi yaliyotolewa katika ngazi ya baraza Kama
sehemu ya maelezo ya kesi “alisema Jaji Mruma.
upande wake Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na sheria Amon Mpanju
alisema kuwa wiki ya msaada wa kisheria imekuja kwa lengo la kutoa
msaada wa kisheria kwa wananchi wanyonge ambao walikuwa wanashindwa
kupata haki zao.
kuwa wiki hiyo wataitumia kwa ajili ya kuwatembelea wananchi ambao
wamefungwa katika maeneo mbalimbali ili kuwasaidia kutoa msaada wa
kisheria .
kwa viongozi wa vitongoji na mitaa ili kutatua kero zinazowakabili
wananchi kwa kujua sheria husika kusimamia majukumu yao vizutina
kupunguza malalamiko na kero zinazowakabili wananchi”alisema Naibu
Katibu Mpanju.
Mkuu wa mkoa wa Tanga Martin Shigela alisema katika mkoa huo zipo kero
nyingi ambazo zinazogusa maslahi ya wananchi ikiwemo migogoro ya ardhi
katika maeneo mbalimbali mkoani hapa.
kuwa katika jitihada za kutafuta ufumbuzi wa kero ni wamekiwa
wakiwashirikisha wanasheria kutoka Chama Cha wanasheria ili kuwasaidia
kupata ufunguzi wa migogoro ya ardhi .
wananchi kutumia wiki hiyo kupata misaada ya kisheria katika kero
mbalimbali wanazokabiliana nazo pamoja na kupata elimu ya kisheria
ambayo itaweza kuwasaidia kufanya maamuzi mbalimbali”alisema RC Shigela