RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.
Dkt. Bilinith Mahenge, alipowasili Uwanja wa Dodoma leo jioni
12/11/2020, kwa ajili ya kuhudhuria uzinduzi wa Bunge la 12 la Jamuhuri
ya Muungano wa Tanzania utakaofanyika kesho 13/11/2020.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwebyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa mapumziko baada ya
kuwasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo jioni 12/11/2020,akiwa na Mkuu wa
Mkoa wa Dodoma Mhe. Dkt.Bilinith Mahenge, kwa ajili ya kuhudhuria
Ufunguzi wa Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hapo kesho
13/11/2020.(Picha na Ikulu)