Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere akiongea na Mbunge-Mteule wa Mbeya mjini ambaye pia ni mgombea nafasi ya Naibu Spika wa Bunge la 12 aliyokuwa anatumikia katika Bunge la 11 Dkt. Tulia Ackson wakati wa dhifa ya Kitaifa baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokula kiapo kuliongoza Taifa kwa kipindi kingine cha miaka mitano iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma