Home Mchanganyiko MTOTO AMEPOTEA USIKU WA SAA NNE MAENEO YA MBEZI GOLD STAR

MTOTO AMEPOTEA USIKU WA SAA NNE MAENEO YA MBEZI GOLD STAR

0

JINA: Mercy Lusekelo Mwakalindile 

Umri 15 Yrs

Maeneo anayopatikana Mbezi Beach, Mbezi Juu, Goba. 

Kwa atake muona tunaomba utoe taarifa kituo chochote cha police au kupitia namba hizi 0763246898/0673977270. 

Asanteni kwa maombi yenu na ushirikiano wenu