JINA: Mercy Lusekelo Mwakalindile
Umri 15 Yrs
Maeneo anayopatikana Mbezi Beach, Mbezi Juu, Goba.
Kwa atake muona tunaomba utoe taarifa kituo chochote cha police au kupitia namba hizi 0763246898/0673977270.
Asanteni kwa maombi yenu na ushirikiano wenu