Msafara wa trekita na magari ukimsindikiza Mgombea ubunge jimbo la Karagwe, Mhe. Innocent Bashungwa kwenda kwenye Kampeni za lala salama za Chama Cha Mapinduzi jimbo la Karagwe kwa upande wa Urais, Wabunge na Madiwani zilizofanyika kwenye kata ya Bugene, Karagwe, Kagera.
Mgombea ubunge jimbo la Karagwe, Mhe. Innocent Bashungwa akisalimia wananchi wa mji wa Omurushaka wakati akiwa kwenye msafara wa trekita na magari kwenda kwenye Kampeni za lala salama za Chama Cha Mapinduzi jimbo la Karagwe kwa upande wa Urais, Wabunge na Madiwani zilizofanyika kwenye kata ya Bugene, Karagwe, Kagera. Oktoba 26, 2020 (Picha na Eliud Rwechungura)