Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Magugu akitokea Karatu wilayani karatu mkoani Arusha akiwa njiani kuelekea Babati mkoani Manyara kwa ajili ya Mkutano wa Kampeni za CCM leo Jumapili Oktoba 25, 2020.
(PICHA NA JOHN BUKUKU-MAGUGU)
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Magugu akitokea Karatu wilayani karatu mkoani Arusha akiwa njiani kuelekea Babati mkoani Manyara kwa ajili ya Mkutano wa Kampeni za CCM leo Jumapili Oktoba 25, 2020
Picha mbalimbali zikionesha wananchi aliojitokeza katika mapokezi ya mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dk John Pombe Magufuli eneo la Magugu wilayani babati mkoani Manyara.
Baadhi ya akina mama wa mji wa Magugu wakimshangilia Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dk. John Pombe Magufuli wakati akizungumza nao.