Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiakizungumza na wananchi wa Kigongoni Makuyuni wilaya ya Monduli mkoani Arusha akiwa njiani kuelekea Karatu kwa ajili ya Mkutano wa Kampeni za CCM leo Jumamosi Oktoba 24, 2020.
(PICHA NA JOHN BUKUKU-MTO WA MBU)
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiakizungumza na wananchi wa Kigongoni Mto wa Mbu wilaya ya Monduli mkoani Arusha akiwa njiani kuelekea Karatu kwa ajili ya Mkutano wa Kampeni za CCM leo Jumamosi Oktoba 24, 2020.
Mgombea Ubunge wa jimbo la Monduli Ndugu Freddy Lowasa akimuombea kura Rais Dk . John Pombe Magufuli katika eneo la Kigongoni Mto wa Mbu Wilaya ya Monduli mkoani Arusha wakati aliposimama na kuzungumza na wananchi wa eneo hilo.
Picha mbalimbali zikionesha wananchi wa Kigongoni Mto wa Mbu wilayani Monduli mkoa wa Arusha wakiwa wamejitokeza kwawingi kumlaki mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dk. John Pombe Magufuli aliposimama katika eneo hilo na kuzungumza nao.