Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kiwanda cha kusindika Bidhaa za ngozi na viatu katika Gereza la Karanga Moshi mkoani Kilimanjaro pamoja viongozi mbalimbali wa Serikali leo Alhamisi Oktoba 22,2020. Kiwanda hicho kimewekezwa kwa ubia katika ya Jeshi la Magereza Tanzania na Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (
(PICHA NA JOHN BUKUKU-MOSHI)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk John Pombe Magufuli akikagua kiwanda kiwanda cha kusindika Bidhaa za ngozi katika Gereza la Karanga Moshi mkoani Kilimanjaro mara baada ya kuzindua leo Alhamisi Oktoba 22,2020. Kiwanda hicho kimewekezwa kwa ubia katika ya Jeshi la Magereza Tanzania na Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk John Pombe Magufuli akizungumza wakatiwa uzinduzi wa kiwanda cha kusindika Bidhaa za ngozi na viatu katika Gereza la Karanga Moshi mkoani Kilimanjaro leo Alhamisi Oktoba 22,2020. Kiwanda hicho kimewekezwa kwa ubia katika ya Jeshi la Magereza Tanzania na Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (
Baadhi ya wafanyakazi wakiendelea na kazi katika kiwanda hicho mara baada ya uzinduzi.
Baadhi ya maofiza wa magereza wakiwa katika uzinduzi wa kiwanda hicho.
Waziri wa Mambo ya Ndani Mh. George Simbachawene kushoto, Mkuu wa Jeshi la Magereza Jenerali Suleiman Mzee na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mama Anna Mghwira kulia wakiwa katika jukwaa kuu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk John Pombe Magufuli akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika kwenye Gereza la Karanga nje kidogo ya mji wa Moshi mkoani Kilimanjaro leo Alhamisi Oktoba 22,2020. Kiwanda hicho kimewekezwa kwa ubia katika ya Jeshi la Magereza Tanzania na Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mama Anna Mghwira akiwa ameketi jukwaa kuu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk John Pombe Magufuli akimsikiliza Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Vijana, ajira na Wenye Ulemavu. Mhe.Jenista Mhagama alipokuwa akitoa taarifa ya uwekezaji wa kiwanda hicho.
Waziri wa Mambo ya Ndani Mh. George Simbachawene naye akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyikaleo mjini nje kidogo ya mji wa Moshi.
Mkuu wa Jeshi la Magereza Jenerali Suleiman Mzee akizungumzakabla ya Rais Dk. John Pombe Magufuli kuhutubia na kuzindua rasmi kiwanda hicho.
Baadhi ya viongozi wa wizara na mashirika wakiwa katika uzinduzi huo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk John Pombe Magufuli akiwasili katika kiwanda cha Kusindika bidhaa za ngozi na viatu Gereza la Karanga mjini mkoani Kilimanjaro.
Waziri wa Mambo ya Ndani Mh. George Simbachawene kushoto, Mkuu wa Jeshi la Magereza Jenerali Suleiman Mzee wakiteta jambo katika uzinduzi huo.
Viongozi mbalimbali wakiwatunza wanamuziki wa bendi ya Magereza waliokuwa wakitumbuiza katika uzinduzi huo.