Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Eneo la Mgagao akiwa njiani kuelekea Mwanga leo Jumatano Oktoba 21,2020.
(PICHA NA JOHN BUKUKU -MGAGAO)
Mgombea Ubunge wa jimbo la Mwanga Ndugu Tadayo akizungumza na wapiga kura wajimbo lake katika eneo la Mgagao na kumuombea kura mgombea Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Eneo la Mgagao akiwa njiani kuelekea Mwanga leo Jumatano Oktoba 21,2020.
Baadhi ya wananchi wakimlaki mgombea urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli katika kijiji cha Mgagao wilayani Mwanga/