Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika mjini Mwanga mkoani Kilimanjaro akiwa njiani kuelekea Moshi mjini leo Jumatano Oktoba 21,2020.
(PICHA NA JOHN BUKUKU MWANGA)
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika mjini Mwanga mkoani Kilimanjaro akiwa njiani kuelekea Moshi mjini leo Jumatano Oktoba 21,2020.
Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro Ndugu Patrick Boisafi akimkaribisha mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli ili kuwahutubia wananchi wa Mwanga.
Waziri Mkuu Mstaafu mzee Cleopa Msuya akitoa salamu zake kwa Rais Dk. John Pombe Magufuli kabla ya kutoa hotuba yake kwa wananchi wa Mwanga.
Waziri Mkuu Mstaafu mzee Cleopa Msuya akitoa salamu zake kwa Rais Dk. John Pombe Magufuli kabla ya kutoa hotuba yake kwa wananchi wa Mwanga.
Baadhi ya wagombea ubunge wa viti maalum mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katika mkutano huo.
Viongozimbalimbali wa CCM wakiwa wameketi jukwaa kuu katika mkutano huo
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk John Pombe Magufuli akiteta jambo na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Humphrey Polepole.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Humphrey Polepole akitoa ratiba ya mkutano huo.
Viongozi mbalimbali wakishiriki katika maombi kwenye mkutano huo uliofanyika Mwanga.
Kutoka kulia ni Kanali Lubinga, Humphrey Polepole na Mzee Cleopa Msuya waziri mkuu mstaafu.
baadhi ya viongozi wa dini wakiwa katika mkutano huo kwa ajili ya kuombea mkutano.
Baadhi ya wagombea udiwani wakiwa katika mkutano huo mjini Mwanga.
Picha mbalimbali zikionesha wananchi waliohudhuria katika mkutano huo uliofanyika mjini Mwanga.